ADOWS

Tunatoa mafunzo maalumu ya Mbwa. tunafundisha kulingana na mahitaji husika ya mteja. mfano, kumfunza mbwa kuwa mkali (friendly dog to be aggressive), Mbwa kumfunza mbwa mkali kuwa mpole (aggressive dog to be friendly Dod), na kumfunza mbwa kucheza michezo mbalimbali. lakini pia tunafundisha mbwa kuwa wasikivu/ watiifu katika kushiriki matembezi ya jioni/ asubuhi (obedience and commands).
pamoja na hayo, pia tunatoa mafunzo maalumu kwa walinzi wa majumbani (Domestic Guards) namna ya kuwatumia mbwa na kukaa nao.
Pia tunazo nafasi chache za kuwahifadhi mbwa kwa muda mfupi kwaajili ya watu wanao kwenda likizo/ au safari nyingine za mbali na kukosa uangalizi wa mbwa wao.
Kwa mawasiliano zaidi kuhusu gharama, na huduma zetu zozote tafadhali wasiliana nasi kwa namba;
+255754594706/ +255685370463

Sinoni Daraja mbili
Arusha, Joseph
Tanzania, United Republic of

display recent social media posts from

Please Wait ... Fetching Social Media Posts

View Social Media Posts for Rescues in , Tanzania, United Republic of